sw_tn/jer/02/01.md

28 lines
413 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Neno la BWANA lilinijia
Tazama 1:1
# nijia
kwa Yeremia
# Nenda ukanene katiaka masikio ya Yerusalemu
"Nenda ukawaambie watu wa Yerusalemu"
# ujana wako
"kwa ajili ya faida yako" au "kwa utashi wako"
# tumechumbiana
"tulipokubaliana kwa mara ya kwanza kuwa tutaoana"
# katka nchi ambayo ilikuwa haijapandwa
"nchi ambayo hakuna aliyepanda" au "nchi ambayo chakula hakistawi"
# BWANA asema
Tazama 1:7