# Neno la BWANA lilinijia Tazama 1:1 # nijia kwa Yeremia # Nenda ukanene katiaka masikio ya Yerusalemu "Nenda ukawaambie watu wa Yerusalemu" # ujana wako "kwa ajili ya faida yako" au "kwa utashi wako" # tumechumbiana "tulipokubaliana kwa mara ya kwanza kuwa tutaoana" # katka nchi ambayo ilikuwa haijapandwa "nchi ambayo hakuna aliyepanda" au "nchi ambayo chakula hakistawi" # BWANA asema Tazama 1:7