sw_tn/jer/01/11.md

16 lines
336 B
Markdown

# Neno la BWANA lilinijia
Tazama 1:1
# Ninaona tawi la mlozi
BWANA anamuonesha Yeremia maono ya kiroho
# mlozi
mti unaotoa mbegu
# kwa kuwa ninaliangalia neno langu
Nenol a Kihebarania la "mlozi" na "kuangalia" yanafanana kwa sauti. Mungu anamtaka Yeremeia kukumbuka kuwa anataka neno lake lilitimie kila anapoona tawi la mlozi.