sw_tn/jer/01/11.md

336 B

Neno la BWANA lilinijia

Tazama 1:1

Ninaona tawi la mlozi

BWANA anamuonesha Yeremia maono ya kiroho

mlozi

mti unaotoa mbegu

kwa kuwa ninaliangalia neno langu

Nenol a Kihebarania la "mlozi" na "kuangalia" yanafanana kwa sauti. Mungu anamtaka Yeremeia kukumbuka kuwa anataka neno lake lilitimie kila anapoona tawi la mlozi.