# Neno la BWANA lilinijia Tazama 1:1 # Ninaona tawi la mlozi BWANA anamuonesha Yeremia maono ya kiroho # mlozi mti unaotoa mbegu # kwa kuwa ninaliangalia neno langu Nenol a Kihebarania la "mlozi" na "kuangalia" yanafanana kwa sauti. Mungu anamtaka Yeremeia kukumbuka kuwa anataka neno lake lilitimie kila anapoona tawi la mlozi.