sw_tn/jdg/21/22.md

12 lines
382 B
Markdown

# Tupeni neema
"tuonesheni upole sisi pamoja na watu wa Benyamini"
# kwa sababu hatukupata wake kwa kila mtu wakati wa vita
"kwa sababu hatukupata wake kwa kila mtu wakati wa vita na Yabeshi Gileadi"
# ninyi hamna hatia ... hamkuwapa wao binti zenu
Hapa wanaambiwa watu wa Shilo. Hawakuwatoa binti zao kwa watu wa Benyamini na hivyo hawakuvunja ahadi yao ya kutokufanya hivyo.