# Tupeni neema "tuonesheni upole sisi pamoja na watu wa Benyamini" # kwa sababu hatukupata wake kwa kila mtu wakati wa vita "kwa sababu hatukupata wake kwa kila mtu wakati wa vita na Yabeshi Gileadi" # ninyi hamna hatia ... hamkuwapa wao binti zenu Hapa wanaambiwa watu wa Shilo. Hawakuwatoa binti zao kwa watu wa Benyamini na hivyo hawakuvunja ahadi yao ya kutokufanya hivyo.