sw_tn/jdg/20/22.md

12 lines
237 B
Markdown

# walijitia nguvu wenyewe
Walijipa moyo wenyewe.
# wakaunda mstari wa vita
Waisraeli waliandaa mistari yao ya kivita kwa ajili ya siku iliyofuata ya mapigano.
# Walitaka mwongozo kutoka kwa Bwana
Kuhani alitegemea mapenzi ya Mungu.