# walijitia nguvu wenyewe Walijipa moyo wenyewe. # wakaunda mstari wa vita Waisraeli waliandaa mistari yao ya kivita kwa ajili ya siku iliyofuata ya mapigano. # Walitaka mwongozo kutoka kwa Bwana Kuhani alitegemea mapenzi ya Mungu.