sw_tn/jdg/18/30.md

12 lines
312 B
Markdown

# Yonathani ... Gershomu ... Musa
Hili ni jina la Mlawi aliyekuwa kuhani wa Mika.
# mpaka siku ya uhamisho wa nchi.
Hii ina maana ya kipindi ambacho watu wa Dani wachukuliwa mateka na adui zao. "mpaka siku ambayo adui waliiteka nchi yao"
# aliyoifanya
Mika hakuitengeneza miungu lakini fundi aliitengeneza.