# Yonathani ... Gershomu ... Musa Hili ni jina la Mlawi aliyekuwa kuhani wa Mika. # mpaka siku ya uhamisho wa nchi. Hii ina maana ya kipindi ambacho watu wa Dani wachukuliwa mateka na adui zao. "mpaka siku ambayo adui waliiteka nchi yao" # aliyoifanya Mika hakuitengeneza miungu lakini fundi aliitengeneza.