sw_tn/jdg/16/28.md

20 lines
319 B
Markdown

# Akamwita Bwana
"Akamwomba Bwana"
# Nipe nia
"nikumbuke mimi"
# mara moja tu
"kwa mara nyingine"
# kwa wakati mmoja
Hii inamaanisha Samsoni anataka kulipiza kisasi ;lakini ili ikamilike inahitaji kitendo kimoja cha ngubu ambacho ni kuziangusha nguzo.
# ambazo zinashikilia nyumba
"ambazo zinaishikilia jengo"