# Akamwita Bwana "Akamwomba Bwana" # Nipe nia "nikumbuke mimi" # mara moja tu "kwa mara nyingine" # kwa wakati mmoja Hii inamaanisha Samsoni anataka kulipiza kisasi ;lakini ili ikamilike inahitaji kitendo kimoja cha ngubu ambacho ni kuziangusha nguzo. # ambazo zinashikilia nyumba "ambazo zinaishikilia jengo"