sw_tn/jdg/16/23.md

20 lines
275 B
Markdown

# Dagoni
Alikuwa mungu wa uongo wa Wafilisti.
# amemshinda
"amemshinda"
# kumtia katika ufahamu
Mwandishi anaonesha kuwa Samsoni alikuwa chini ya utawala wa Wafilisti.
# mharibifu wa nchi yetu
"mtu aliyeharibu nchi yetu"
# aliwaua wengi wetu
"mtu aliyeua watu wetu"