# Dagoni Alikuwa mungu wa uongo wa Wafilisti. # amemshinda "amemshinda" # kumtia katika ufahamu Mwandishi anaonesha kuwa Samsoni alikuwa chini ya utawala wa Wafilisti. # mharibifu wa nchi yetu "mtu aliyeharibu nchi yetu" # aliwaua wengi wetu "mtu aliyeua watu wetu"