sw_tn/jdg/16/18.md

40 lines
658 B
Markdown

# Delila alipoona
"kuona" inamaana ya alipotambua.
# ukweli juu ya kila kitu
"ukweli juu ya nguvu za Samsoni"
# Njooni tena
Delila anawaambia viongozi waende anapoishi.
# wakaleta fedha mkononi mwao
Hii inamaanisha kuwa walimleta fedha walizomuahidi kuwa watampa ikiwa atawasaidia kumkamata Samsoni.
# Alimfanya alale
"Alimsababisha alale usingizi"
# kwenye mapaja yake
"alilaza kichwa chake kwenye mapaja yake"
# Paja
Paja ni eneo la mguu wa juu.
# Vifungo saba vya nywele zake
Samsoni alikuwa na vifungo saba katika nywele zake.
# kumshinda
"kumtawala"
# nguvu zake zilikuwa zimemwacha.
"nguvu zake ziliondoka" au "hakuwa na nguvu tena"