# Delila alipoona "kuona" inamaana ya alipotambua. # ukweli juu ya kila kitu "ukweli juu ya nguvu za Samsoni" # Njooni tena Delila anawaambia viongozi waende anapoishi. # wakaleta fedha mkononi mwao Hii inamaanisha kuwa walimleta fedha walizomuahidi kuwa watampa ikiwa atawasaidia kumkamata Samsoni. # Alimfanya alale "Alimsababisha alale usingizi" # kwenye mapaja yake "alilaza kichwa chake kwenye mapaja yake" # Paja Paja ni eneo la mguu wa juu. # Vifungo saba vya nywele zake Samsoni alikuwa na vifungo saba katika nywele zake. # kumshinda "kumtawala" # nguvu zake zilikuwa zimemwacha. "nguvu zake ziliondoka" au "hakuwa na nguvu tena"