sw_tn/jdg/14/01.md

12 lines
413 B
Markdown

# Samsoni akashuka kwenda Timna
Neno "kushuka" linatumika kwa sababu Timna ipo juu ya ilipokuwa nyumba ya baba yake na Samsoni. Timna ni jina la mji uliopo kwenye bonde la Soreki.
# mmojawapo wa binti za Wafilisti.
"binti" ni njia moja wapo ya kuelezea kuwa mwanamke huyu alikuwa hajaolewa.
# Sasa mkanichukulie awe mke wangu.
Samsoni aliwaomba wazazi wake wazungumze na wazazi wa yule mwanamke kuhusu ndoa.