sw_tn/jdg/13/21.md

8 lines
200 B
Markdown

# kwamba yule ndiye malaika wa Bwana
"yule" inamuelezea yule mtu ambaye Manoa na mke wake walimuona.
# Hakika tutakufa, kwa sababu tumemwona Mungu
"Mungu atatufanya tufe kwa sababu tumemuona yeye"