# kwamba yule ndiye malaika wa Bwana "yule" inamuelezea yule mtu ambaye Manoa na mke wake walimuona. # Hakika tutakufa, kwa sababu tumemwona Mungu "Mungu atatufanya tufe kwa sababu tumemuona yeye"