sw_tn/jdg/13/12.md

12 lines
305 B
Markdown

# Maneno yako
Haya ni maneno ambayo yule mtu aliyasema. "maneno uliyosema"
# kitu chochote kinachotokana na mizabibu
Hapa malaika anamaanisha chakula chochote kitokanacho na mizabibu.
# chochote ambacho sheria inasema kuwa si safi
Kitu ambacho Bwana amesema hakifai kuliwa kinaonekana kuwa ni najisi