# Maneno yako Haya ni maneno ambayo yule mtu aliyasema. "maneno uliyosema" # kitu chochote kinachotokana na mizabibu Hapa malaika anamaanisha chakula chochote kitokanacho na mizabibu. # chochote ambacho sheria inasema kuwa si safi Kitu ambacho Bwana amesema hakifai kuliwa kinaonekana kuwa ni najisi