sw_tn/jdg/12/08.md

12 lines
302 B
Markdown

# Ibzani
Hili ni jina la mtu toka Betlehemu.
# Aliwapeleka binti thelathini katika ndoa
Hii inamaanisha aliwaruhusu binti zake kuolewa.
# naye akaleta binti thelathini kutoka nje kwa ajili ya wanawe
"aliandaa mabinti thelathini toka nje ya jamaa yake kwa ajili ya kuolewa na watoto wake wa kiume"