# Ibzani Hili ni jina la mtu toka Betlehemu. # Aliwapeleka binti thelathini katika ndoa Hii inamaanisha aliwaruhusu binti zake kuolewa. # naye akaleta binti thelathini kutoka nje kwa ajili ya wanawe "aliandaa mabinti thelathini toka nje ya jamaa yake kwa ajili ya kuolewa na watoto wake wa kiume"