sw_tn/jdg/12/01.md

24 lines
468 B
Markdown

# Watu wa Efraimu walitoka pamoja
"Watu wa Efraimu waliitwa pamoja" au "Watu wa Efraimu waliwakusanya askari wao"
# Zafoni
Hili ni jina la mji.
# wakapitia ... umetangulia
"kusafiri kupitia" au "kusafiri"
# Tutachoma nyumba yako.
Hii inamaanisha tutachoma moto nyumba yako na watu walioko ndani.
# Nilipokuita,
Hii imetumika kama wingi ikimaanisha watu wa Efraimu.
# hukuniokoa
Hapa Yeftha anawaelezea watu wa Gileadi kama yeye mwenyewe. "hamkutuokoa sisi"