sw_tn/jdg/11/29.md

12 lines
305 B
Markdown

# Roho wa Bwana akamjia Yeftha
"Roho wa Bwana akamtawala Yeftha"
# akapita Gileadi na Manase ... kutoka Mispa ya Gileadi
Yeftha alipita maeneo haya akiorodhesha watu kwa ajili ya jeshi lake kwenda vitani na watu wa Amoni.
# Nami nitatoa hiyo sadaka
Kutoa kitu kwa ajili ya sadaka. "Nitakitoa kwako"