# Roho wa Bwana akamjia Yeftha "Roho wa Bwana akamtawala Yeftha" # akapita Gileadi na Manase ... kutoka Mispa ya Gileadi Yeftha alipita maeneo haya akiorodhesha watu kwa ajili ya jeshi lake kwenda vitani na watu wa Amoni. # Nami nitatoa hiyo sadaka Kutoa kitu kwa ajili ya sadaka. "Nitakitoa kwako"