sw_tn/jdg/11/17.md

28 lines
450 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Mjumbe wa Yeftha anaendelea kuzungumza.
# Israeli walipotuma wajumbe
Wajumbe hawa walitumwa na viongozi wa Israeli.
# Kupita
"kipitia" au "kukatisha"
# Walikataa
"kukataa" au "kutosikiliza ombi lao"
# Wakawatuma wajumbe kwa mfalme wa Moabu
"pia walituma wajumbe kwa mfalme wa Moabu juu ya ombi hilo hilo"
# lakini akakataa
Mfalme wa Moabu alikataa ombi la Waisraeli kupita katika Moabu.
# Arnoni
Hili ni jina la mto.