# Taarifa ya jumla: Mjumbe wa Yeftha anaendelea kuzungumza. # Israeli walipotuma wajumbe Wajumbe hawa walitumwa na viongozi wa Israeli. # Kupita "kipitia" au "kukatisha" # Walikataa "kukataa" au "kutosikiliza ombi lao" # Wakawatuma wajumbe kwa mfalme wa Moabu "pia walituma wajumbe kwa mfalme wa Moabu juu ya ombi hilo hilo" # lakini akakataa Mfalme wa Moabu alikataa ombi la Waisraeli kupita katika Moabu. # Arnoni Hili ni jina la mto.