sw_tn/jdg/10/15.md

12 lines
251 B
Markdown

# Wakaiacha miungu ya kigeni
Watu wakaacha kuabudu miungu ya uongo.
# miungu ya kigeni waliyokuwa nayo
"miungu ya kigeni ambayo walimiliki sanamu zake"
# Naye akawa na subira juu ya taabu ya Israeli.
"Naye hakutaka watu wa Israeli wateseke tena"