# Wakaiacha miungu ya kigeni Watu wakaacha kuabudu miungu ya uongo. # miungu ya kigeni waliyokuwa nayo "miungu ya kigeni ambayo walimiliki sanamu zake" # Naye akawa na subira juu ya taabu ya Israeli. "Naye hakutaka watu wa Israeli wateseke tena"