sw_tn/jdg/10/10.md

24 lines
508 B
Markdown

# wana wa Israeli wakamwita Bwana
Hii ina maana kuwa wana wa Israeli waliomba msaada kwa Bwana.
# kwa sababu tumemwacha Mungu wetu
Watu waliacha kumtii na kumuabudu Bwana, walimuacha na kwenda kuabudu miungu mingine.
# tumemwacha Mungu wetu
"kukuacha wewe, Mungu wetu"
# Je, sikuwatoa ninyi ... Wasidoni?
Bwana aliwakemea wana wa Israeli kwa kitendo chao cha kuabudu miungu mingine.
# Waamoni
Hawa ni watu wa familia ya Amoni.
# kutoka katika nguvu zao
"Nguvu" inawakilisha Waamaleki na Wamaoni.