# wana wa Israeli wakamwita Bwana Hii ina maana kuwa wana wa Israeli waliomba msaada kwa Bwana. # kwa sababu tumemwacha Mungu wetu Watu waliacha kumtii na kumuabudu Bwana, walimuacha na kwenda kuabudu miungu mingine. # tumemwacha Mungu wetu "kukuacha wewe, Mungu wetu" # Je, sikuwatoa ninyi ... Wasidoni? Bwana aliwakemea wana wa Israeli kwa kitendo chao cha kuabudu miungu mingine. # Waamoni Hawa ni watu wa familia ya Amoni. # kutoka katika nguvu zao "Nguvu" inawakilisha Waamaleki na Wamaoni.