sw_tn/jdg/10/03.md

44 lines
550 B
Markdown

# Alifuatiwa na Yairi Mgileadi
"Yairi Mgileadi alikuwa kiongozi baada ya Tola"
# Yairi
Hili mi jina la mwanaume.
# Mgileadi
Yairi alitoka katika kabila la Gileadi.
# Akawa mwamuzi wa Israeli.
"kuamua" inamaanisha kuwaongoza watu wa Israeli.
# Israeli
"Israeli" inawakilisha watu wa Israeli.
# Miaka ishirini
"miaka 20"
# Thelathini
"30"
# Hawoth Yairi
Hili ni jina la mji lililotokana na jina la mtu.
# hata leo
Hii inamaanisha wakati ambao kitabu cha waamuzi kinaandikwa.
# Akazikwa
"wakamzika"
# Kamoni
Hili ni jina la mahali.