# Alifuatiwa na Yairi Mgileadi "Yairi Mgileadi alikuwa kiongozi baada ya Tola" # Yairi Hili mi jina la mwanaume. # Mgileadi Yairi alitoka katika kabila la Gileadi. # Akawa mwamuzi wa Israeli. "kuamua" inamaanisha kuwaongoza watu wa Israeli. # Israeli "Israeli" inawakilisha watu wa Israeli. # Miaka ishirini "miaka 20" # Thelathini "30" # Hawoth Yairi Hili ni jina la mji lililotokana na jina la mtu. # hata leo Hii inamaanisha wakati ambao kitabu cha waamuzi kinaandikwa. # Akazikwa "wakamzika" # Kamoni Hili ni jina la mahali.