sw_tn/jdg/09/52.md

16 lines
332 B
Markdown

# kupigana nao
"kuwavamia"
# jiwe la juu
Mawe makubwa mawili yaliyokuwa yanatumika kusagia nafaka. Jiwe la juu ni lile lililokuwa juu ambalo lilizungushwa ili kusaga nafaka.
# mbeba silaha
Huyu ni mtu aliyekuwa anabeba silaha za Abimeleki.
# akamchoma
Hii inamaanisha kuwa kijana alichomeka upanga kwenye mwili wa Abimeleki.