# kupigana nao "kuwavamia" # jiwe la juu Mawe makubwa mawili yaliyokuwa yanatumika kusagia nafaka. Jiwe la juu ni lile lililokuwa juu ambalo lilizungushwa ili kusaga nafaka. # mbeba silaha Huyu ni mtu aliyekuwa anabeba silaha za Abimeleki. # akamchoma Hii inamaanisha kuwa kijana alichomeka upanga kwenye mwili wa Abimeleki.