sw_tn/jdg/09/28.md

36 lines
912 B
Markdown

# Gaali ... Ebedi
Haya ni majina ya wanaume.
# Abimeleki ni nani, na Shekemu ni nani, hata tumtumikie?
Gaali anatumia swali kusisitiza kuwa watu wa Shekemu hawawezi kumtumikia Abimeleki.
# Abimeleki ni nani, na Shekemu ni nani,
Maswali haya yanamaana moja. Gaali anamuelezea Abimeleki kama Shekemu maana mama yake na Abimeleki alitoka Shekemu.
# Je, si mwana wa Yerubaali? Na Zebuli si afisa wake?
Gaali anatumia swali kusisitiza kuwa watu wa Shekemu hawawezi kumtumikia Abimeleki.
# Yerubaali
Hili ni jina lingine la Gideoni.
# Zebuli
Hili ni jina la mwanaume.
# Watumikieni watu wa Hamori, baba yake Shekemu
Gaali anamaanisha watu wa Shekemu wawatumikie watu wa uzao wa Hamori.
# Kwa nini tunapaswa kumtumikia?
Gaali anatumia swali kusisitiza kuwa watu wa Shekemu hawawezi kumtumikia Abimeleki.
# Laiti watu hawa wangekukuwa chini ya amri yangu
"natamani ningekuwa nawatawala watu wa Shekemu"