sw_tn/jdg/09/25.md

8 lines
247 B
Markdown

# wakawaweka wanaume wakimsubiri juu ya vilima ili wamwangamize
"akatuma watu wajifiche kwenye vilima na wasubiri kumuangamiza Abimeleki"
# Hii iliripotiwa kwa Abimeleki
"kuna mtu alimwambia Abimeleki kuhusu watu wanaomsubiri ili wamwangamize"