sw_tn/jdg/08/08.md

20 lines
500 B
Markdown

# Akatoka huko
Hapa anazungumziwa Gideoni pamoja na askari waliomfuata. "Gideoni na watu 300 wakatoka huko"
# Penieli
Hili ni jina la mahali.
# akawaambia watu maneno hayo hayo
"akaomba chakula hapo kwa namna ile ile" au " pia akawaomba chakula"
# Nitakapokuja kwa amani
Hii ni namna ya heshima ya kuzungumza juu ya kumshinda adui. "Baada ya kumaliza kulishinda jeshi la Midiani"
# nitauangusha mnara huu
"Mimi" inawakilisha Gideoni na watu wake. "Watu wangu na mimi tutauangusha mnara huu"