sw_tn/jdg/07/22.md

16 lines
483 B
Markdown

# tarumbeta mia tatu
"tarumbeta 300"
# Bwana akaweka upanga wa kila mtu wa Midiani dhidi ya wenzake
"Upanga" ina maanisha kuwa kushambulia kwao ni kwa kutumia upanga. "Bwana akasababisha kila Mmidiani kupigana na askari mwenzake"
# Bethshita ... Serera ... Abel ... Mehola ...Tabathi
Haya ni majina ya miji.
# Watu wa Israeli kutoka Naftali, Asheri, na Manase wote waliitwa nje
Hii yaweza kuwa "Gideoni waliwaita nje Waisraeli toka kwenye kabila la Naftali, Asheri na Manase.