# tarumbeta mia tatu "tarumbeta 300" # Bwana akaweka upanga wa kila mtu wa Midiani dhidi ya wenzake "Upanga" ina maanisha kuwa kushambulia kwao ni kwa kutumia upanga. "Bwana akasababisha kila Mmidiani kupigana na askari mwenzake" # Bethshita ... Serera ... Abel ... Mehola ...Tabathi Haya ni majina ya miji. # Watu wa Israeli kutoka Naftali, Asheri, na Manase wote waliitwa nje Hii yaweza kuwa "Gideoni waliwaita nje Waisraeli toka kwenye kabila la Naftali, Asheri na Manase.