sw_tn/jdg/07/09.md

20 lines
327 B
Markdown

# Kavamie kambi, kwa maana nitakupa ushindi juu yake
"kambi" inamaana ya jeshi zima la Wamidiani.
# Anaogopa kushuka
"anaogopa kwenda chini kuvamia"
# Pura
Hili ni jina la mwanaume
# ujasiri wako utaimarishwa
"Na unayoyasikia yatakupa ujasiri"
# Sehemu ya walinzi
Sehemu ambayo askari husimama kutizama jeshi la adui.