# Kavamie kambi, kwa maana nitakupa ushindi juu yake "kambi" inamaana ya jeshi zima la Wamidiani. # Anaogopa kushuka "anaogopa kwenda chini kuvamia" # Pura Hili ni jina la mwanaume # ujasiri wako utaimarishwa "Na unayoyasikia yatakupa ujasiri" # Sehemu ya walinzi Sehemu ambayo askari husimama kutizama jeshi la adui.