sw_tn/jdg/07/07.md

20 lines
392 B
Markdown

# Watu mia tatu
"watu 300"
# nitakuokoa na kukupa ushindi
Hapa alikuwa anamwambia Gideoni ila akimaanisha Gideoni na Waisraeli.
# Kwa hiyo wale waliochaguliwa
"kwa hiyo wale waliochaguliwa na Bwana"
# walichukua vifaa vyao na tarumbeta zao.
"zao" inawakilisha askari wa Israeli walioondoka kwenye jeshi.
# Sasa
Hili ni nenp linalotumiwa na msimuliaji kuanza sehemu mpya ya simulizi.