# Watu mia tatu "watu 300" # nitakuokoa na kukupa ushindi Hapa alikuwa anamwambia Gideoni ila akimaanisha Gideoni na Waisraeli. # Kwa hiyo wale waliochaguliwa "kwa hiyo wale waliochaguliwa na Bwana" # walichukua vifaa vyao na tarumbeta zao. "zao" inawakilisha askari wa Israeli walioondoka kwenye jeshi. # Sasa Hili ni nenp linalotumiwa na msimuliaji kuanza sehemu mpya ya simulizi.