sw_tn/jdg/06/31.md

20 lines
380 B
Markdown

# Je, ninyi mtamsihi Baali?
Yoashi anatumia swali kusisitiza kuwa mwanadamu hatakiwi kuiokoa miungu.
# Mtamsihi
"mtamtetea" au "mtatoa sababu"
# Je mtamuokoa?
Yoashi anatumia swali kusisitiza kuwa mwanadamu hatakiwi kuiokoa miungu.
# Yerubaali
Hili ni jina lingine la Gidioni likiwa na maana ya "Baali ajitetee mwenyewe"
# Kwa sababu alisema.
"Kwa sababu Yoashi alisema"