# Je, ninyi mtamsihi Baali? Yoashi anatumia swali kusisitiza kuwa mwanadamu hatakiwi kuiokoa miungu. # Mtamsihi "mtamtetea" au "mtatoa sababu" # Je mtamuokoa? Yoashi anatumia swali kusisitiza kuwa mwanadamu hatakiwi kuiokoa miungu. # Yerubaali Hili ni jina lingine la Gidioni likiwa na maana ya "Baali ajitetee mwenyewe" # Kwa sababu alisema. "Kwa sababu Yoashi alisema"