sw_tn/jdg/06/01.md

16 lines
480 B
Markdown

# yaliyo mabaya machoni pa Bwana
"machoni mwa Bwana" inawakilisha kitu ambacho Bwana anakifikiria au kuwaza juu ya jambo fulani
# mikononi mwa Midiani
"Midiani" inawakilisha watu wa Midiani. Pia "mkono" unawakilisha kutawala. "utawala wa watu wa Midiani"
# Uwezo wa Midiani uliwanyanyasa Israeli
"uwezo wa Midiani" inamaanisha watu wa Midiani. "Watu wa Midiani walikuwa na nguvu kuliko watu wa Israeli na waliwanyanyasa"
# Mabwawa
Eneo lenye miamba linaloweza kuwa makazi.