# yaliyo mabaya machoni pa Bwana "machoni mwa Bwana" inawakilisha kitu ambacho Bwana anakifikiria au kuwaza juu ya jambo fulani # mikononi mwa Midiani "Midiani" inawakilisha watu wa Midiani. Pia "mkono" unawakilisha kutawala. "utawala wa watu wa Midiani" # Uwezo wa Midiani uliwanyanyasa Israeli "uwezo wa Midiani" inamaanisha watu wa Midiani. "Watu wa Midiani walikuwa na nguvu kuliko watu wa Israeli na waliwanyanyasa" # Mabwawa Eneo lenye miamba linaloweza kuwa makazi.